Windows

VIDEO: KIONGOZI SIMBA ALIVYOIMBA MBELE YA MASTAA


Miongoni mwa mastaa waliofika kwenye usiku wa tuzo za sinema zetu ni Ofisa habari wa klabu ya Simbaa, Haji Manara, ambaye amesema amefika tu kuonesha umoja na upendo kwa wasanii wenziye lakini yeye hawezi kuigiza.


Post a Comment

0 Comments