Windows

VIDEO: BAO ALILOFUNGA MAKAMBO DHIDI YA COASTAL UNION LAKUBALIWA


Bao alilofunga mchezaji wa Yanga dhidi ya Coastal Union na kukataliwa kuwa lilikuwa la offside, limetolewa na ufafanuzi Mwamuzi wa zamani, Othuman Kazi ambaye amesema kuwa Mwamuzi aliteleza kulikataa likiwa halali.


Post a Comment

0 Comments