Windows

Ratiba Ligi kuu TPL leo 20 February 2019

Ratiba Ligi kuu TPL leo 20 February 2019

Baada ya jana kuchezwa jumla ya mechi 4 katika viwanja mbalimbali ligi kuu soka ya Tanzania bara itaendelea leo kwa Jumal ya mechi 3 kuchezwa .
Mechi za leo zitakuwa ni kati ya KMC timu ya manispaa ya Kinondoni itakayokuwa mwenyeji wa Timu ya Mtibwa Sugar kutoka mkoani Morogoro.


Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Mbao Fc watakaokuwa wenyeji wa Mabingwa wa Kihistoria Yanga katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mechi ikianza majira ya saa kumi kamili alasiri.
Nako jijini Mbeya msomaji wa Kwataunit.co.ke Kutakuwa na mchezo kati ya Mbeya City ambao watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons hii ikijulikana kama Mbeya Darby mechi ikichezwa uwanja wa Sokoine na Ikitarajiwa kuwa ngumu kutokana na matokeo mazuri ambayo timu zote imekuwa ikizipata.

Post a Comment

0 Comments