Windows

Mechi 5 za Simba zinazofuata Ligi kuu TPL


Mechi 5 za Simba zinazofuata Ligi kuu TPL
Baada ya Kupata Ushindi mkubwa wa bao 3 kwa 0 mbele ya African Lyon Simba ikicheza jijini Arusha Hizi ndizo mechi 5 za Simba zinazofuata Ligi Kuu soka ya Tanzania bara TPL.
22.2.2019 Azam Fc vs Simba Hii mechi kati ya Azam Fc dhidi ya Simba itachezwa uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam Azam Fc wakiwa wenyeji.
Baada ya Mechi na Azam Fc 26.02.2019 Simba itasafiri mkoani Iringa kucheza na Lipuli Fc mechi ikichezwa uwanja wa Samora.
Kisha Tarehe 3.3.2019 Simba itakuwa na Shughuli mkoani Shinyanga kucheza na Stand United Chama La wana.
Baada ya Hapo mechi zitakazofuata zitakuwa ni kati ya Simba na Timu za mwanza Alliance na Mbao zote zikichezwa jijini Mwanza baada ya mchezo wa Simba na Js Saoura na Simba dhidi ya As Vita

Post a Comment

0 Comments