

Mbao Fc: Matokeo mechi 5 za Mwisho TPL
Leo nyasi za uwanja wa CCM Kirumba zitakuwa na kazi ambao timu za Mbao Fc na Yanga zitakuwa na Shughuli katika mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL.
Kuelekea mechi hiyo msomaji wa Kwata unit hizi ni Takwimu za Matokeo ya Mechi 5 za Mwisho timu Ya Mbao Fc ligi kuu TPL.
Katika mechi 5 za Mwisho Mbao Fc imeshinda mechi 2 dhidi ya Ruvu Shooting na dhidi ya Singida United huku ikipoteza Nyumbani dhidi ya Coastal Union na Kupoteza ugenini dhidi ya JKT Tanzania na dhidi ya Tanzania Prisons.
16.01.2019 – Mbao Fc 1 – 0 Singida United
20.01.2019 JKT Tz 1 – 0 Mbao Fc
06.02.2019 Prisons 2 – 1 Mbao Fc
11.02.2019 Mbao 0 – 1 Coastal Union
15.02.2019 Mbao Fc 1 – 0 Ruvu Shooting



0 Comments