Windows

KIPINDi CHA KWANZA: JKT TANZANIA 0-1 YANGA


Dakika ya 27 Feisalim Toto anafunga bao baada ya juhudi  za timu kwa pamoja akipokea pasi ya  mpira wa Gadiel Michael.

Mchezo kwa sasa unaendelea Uwanja wa Mkwakwani Tanga ambapo kila timu inashambulia kwa kasi.

Mashabiki leo waliojitokeza Uwanjani ni wachache kushuhudia mchezo wa leo.

JKT Tanzania wanatumia nguvu nying sana Uwanjani hali iliyopeleka mchezaji wao Ally Shiboli kuonyeshwa kadi ya njano


Post a Comment

0 Comments