Windows

Yanga yaonja kipigo cha kwanza msimu huu

Timu ya Stand United yaharibu rekodi ya Yanga msimu huu, hii ni baada ya leo kuifunga timu hiyo kwa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Jacob Masawe ndiye aliyepeleka kilio kwa timu ya Yanga baada ya kuipatia timu yake ya Stand United dakika ya 88.

Hii ni kwa mara ya kwanza msimu huu kwa Yanga kupoteza mchezo kwenye Ligi kuu Tanzania Bara.




from MUUNGWANA BLOG

Post a Comment

0 Comments