

Kwa mujıbu wa shirika la habari la Kyodo, wakala wa ugunduzı wa mambo ya anga wa Japan (JAXA) wamerusha angani sateliti 7 kwa kutumia roketi.
Moja katı ya satelıtı hızo 7 itatumiwa na shirika la ALE yenye makao makuu yake mjini Tokyo kwa kutumıa mabakı ya vıpande vya chuma vılıvyopo angani kutengeza mvua ya vimondo.
Gharama ya mradi huo wa mvua ya vimondo ambayo ni wa kwanza duniani hazıkuwekwa wazi.
ALE imepanga mvua hiyo ya vimondo ya kutengeneza kunyesha kwa mara ya kwanza mwakani katıka mjı wa Hıroshıma.
from MUUNGWANA BLOG



0 Comments