Windows

WACHEZAJI 20 SIMBA WALIOKWEA PIPA KWENDA MISRI KUMALIZA KAZI DHIDI YA WAARABU


Wachezaji 20 wa klabu ya Simba ambao wamekwea pipa kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) dhidi ya Al Ahly jumamosi ya February 02.

1-Aishi Manula
2-Deo Munishi Dida

3-Nicholas Gyan
4-Mohamed Hussein
5-Asante Kwasi
6-Pascal Wawa
7-Juuko Murshid
8-Paul Bukaba

9-Jonas Mkude
10-James Kotei
11-Haruna Niyonzima
12-Hassan Dilunga
13-Mohamed Ibrahim
14-Clatous Chama 
15-Shiza Kichuya
16-Rashid Juma

17-Adam Salamba
18-Meddie Kagere
19-Emmanuel Okwi
20-John Bocco

Post a Comment

0 Comments