Windows

VIDEO: Zitto Kabwe, John Mnyika wapewa ujumbe mzito

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe wamepewa ujumbe kuhusiana na  Muswada wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa kusimamia kile wanachokiamini na kutoa maoni kuhusu mswada huo kwa maslahi ya taifa na sio kwenda Bungeni kulala.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



from MUUNGWANA BLOG

Post a Comment

0 Comments