Windows

Je Arsenal ina mpango gani baada ya kuondolewa katika kombe Europa?

Wakiwa katika nafasi ya tisa katika ligi , msimu wa Arsenal unaonekana umekwisha bila chochote cha kuonesha na rekodi yao wanayojivunia ya kushiriki katika michuano ya kimataifa kwa kipindi cha miaka 25 iliopita inaelekea kuangamia.

Post a Comment

0 Comments