Windows

VIDEO: TRA wakusanya mabilioni ya shilingi mpakani mwa Tnzania na Kenya

Meneja msaidizi wa TRA Mkoa wa Arusha Godfrey Kitundu amesema kuwa katika kushughulikia masuala ya Kiforodha wamejipanga vizuri kwa kuwa mpaka wa Namanga ndipo biashara za Kimataifa hufanyika.

Akizungumza na Muungwana Tv Ofisi kwake katika mpaka wa Namanga na Kenya Kitundu amesema kuwa makusanyo ya mapato yameongezeka ambapo mwaka 2016 /2017 walikuwa wanakusanya Bilion 46 kwa mwaka lakini mwaka 2017 /2018 mapato yameongezekwa zaidi ya bilioni 56 kwa mwaka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



Post a Comment

0 Comments