Windows

VIDEO: TAKUKURU waibua mapya Serikali za mitaa

Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Emmanuel Stenga amesema katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2018 jumla ya malalamiko 135 yamepokelewa kati ya hayo Serikali za Mitaa zinaongoza kwa kuwa na jumla ya malalamiko 31, ikifuatiwa na idara ya afya 18, elimu 14, polisi 13, ardhi 12, maliasili na uvuvi nane, taasisi ya fedha saba na idara nyingine malalmiko 20

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 



Post a Comment

0 Comments