Mchezaji wa Simba Haruna Hakizamana Niyonzima amefungukia viddeo ambayo inamuonesha mchezaji mwenzake Pascal Serge Wawa ikimuonesha akiwa na mwanamama mwenye umbo kubwa akiwa anacheza nae muziki.
Niyonzima amesema kwa video ile inamtetea wawa kutokana na yule ni mke wake hivyo sio mbaya.
0 Comments