Windows

VIDEO: ACT Wazalendo wafurahishwa na kauli ya Spika Ndugai kuhusu Zitto Kabwe

Chama cha ACT Wazalendo kimefurahishwa na kauli aliyoitoa Spika Bunge, Job Ndugai baada ya kukiri kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekuwa akimsumbua kwa kile anachodai kuwa amekuwa akitoa taarifa nyingi za upotoshaji.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



Post a Comment

0 Comments