

Klabu ya Simba SC imesema inawafanyia majaribio wachezaji wawili kutoka nchini Ghana.
Wachezaji hao ni Lamine Moro kutoka Ghana (beki) na Hunlede Kissimbo Ayi-Abel kutoka Togo (mshambuliaji).
Taarifa kutoka kwenye timu hiyo imeeleza kuwa iwapo kocha Patrick Aussems ataona wanafaa, watasajiliwa rasmi.



0 Comments