Windows

Ratiba Sportpesa Super Cup 22 January 2019

Ratiba Sportpesa Super Cup 22 January 2019
Michuano ya Sportpesa Super Cup 2019 inaanza Jumanne 22 January 2019 kwa mechi mbili kuchezwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam .
Mechi ya Kwanza ITAKUWA ni kati ya Singida United dhidi ya Bandari Fc kutoka Mombasa nchini Kenya mechi ikianza saa nane kamlili.
Mechi ya Pili itazikutanisha klabu ya Yanga dhidi ya Kariobangi Sharks kutoka Eneo la Kariobangi jijini Nairobi kenya hii Itaanza saa kumi kamili alasiri uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment

0 Comments