Windows

Chaneli za Tanzania zitakayoonyesha Sportpesa Super Cup

Chaneli za Tanzania zitakayoonyesha Sportpesa Super Cup
January 22 Siku ya Jumanne michuano ya Sportpesa Super Cup itaanza kwa mechi mbili kuchezwa mechi ya saa nane na Saa kumi kamili zikiwa ndizo mechi za Ufunguzi.
Kuelekea michuano hiyo watu wengi wasomaji wa Kwataunit.co.ke wamekuwa wakituuliza juu ya chaneli ambazo zitaonyesha michuano hiyo ya Sportpesa Super Cup.
Chaneli mbili za Tanzania zimepewa mamlaka ya kuonyesha mechi hizo ambazo ni TBC 1 na Star Tv ndizo zitakazokuwa na dhamana ya Kuonyesha

Post a Comment

0 Comments