MKUU WA CHUO CHA AFYA CHA TUMAINI JIPYA MAFINGA ANATANGAZA KUPOKEA MAOMBI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KWA IN TAKE YA MARCH/ APRIL KATIKA KOZI ZIFUATAZO:-
1. ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE (AFISA TABIBU) (MIAKA MITATU (3)
SIFA ZA MUOMBAJI:
AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA ANGALAU ALAMA D NNE IKIWEMO MASOMO YA BIOLOGY “D" CHEMÄ°A-D" FTZIKIA D" NA IKIWEMO HESABU NA ENGLISH NI KWA NYONGEZA KWA MASOMO MOJAWAPO.
2. CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE (AFISA TABIBU MSAIDIZI) MIAKA MIWILI
SIFA ZA MWOMBAJI:
AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA ANGALAU ALAMA D NNE YA IKIWEMO MASOMO YA BIOLOGY "D CHEMIA "D" FIZIKIA "D" NA IKIWEMO HESABU NA ENGLISH NI KWA NYONGEZA KWA MASOMO MOJAWAPO.
3. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH (UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII AKA MMOJA.
SIFA ZA MWOMBAJI:
AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA MASOMO ANGALAU AWE AMEPATA D NNE LIKIWEMO SOMO LA BIOLOGY
YOTE HAYO YANAZINGATIWA MWONGOZ0 WA WIZARA YA AFYA NA NACTE CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA REG/HAS/144.
ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU FOMU ZINAPATIKANA CHUONI TUMAINI JIPYA MAFINGA IRINGA AU KWENYE WEBSITE YACHUO. www.tumainijipya.org
Email: tumainijipya@gmail.com Kto maulizo tafadhalà uasiliana na chuo kwα 0755535301 au 0745701755
0 Comments