Windows

BREAKING NEWS: VIFAA VIPYA SIMBA, NI MGHANA NA MTOGO, VYAANZA MAZOEZI




BREAKING NEWS: SIMBA YASHUSHA VIFAA VIWILI KUTOKA AFRIK MAGHARIBI

Wachezaji wawili wapya wa klabu ya Simba wameanza mazoezi leo.

Wachezaji hao wawili ni beki na mmoja ni mshambuliaji. Imeelezwa wachezaji hao wapya mmoja ni raia wa Ghana na mwingine imeelezwa ni raia wa Togo.


Simba inaonekana kuamua kuongeza nguvu katika kikosi chake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwa wacheza mechi mbili. Moja wameshinda na nyingine kufungwa.

Wachezaji hao wameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani leo.






Post a Comment

0 Comments