Windows

BREAKING NEWS: SIMBA YASHUSHA VIFAA VIWILI KUTOKA AFRIKA MAGHARIBI, COULIBALY MGUU NJE





Klabu ya Simba imeona kuna ulazima wa kuongeza nguvu katika kikosi chake maana Ligi ya Mabingwa Afrika si mchezo.

Simba imeshusha wachezaji wawili wa kigeni ambao wataanza mazoezi leo.

Taarifa zinaeleza wachezaji hao tayari wako jijini Dar es Salaam na Zana Coulibaly ataachwa kama wachezaji hao watakubalika kwa Kocha Patrick Aussems.



Post a Comment

0 Comments