Windows

BREAKING NEWS: CAF YAIONDOA TIMU YA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, HATUA YA MAKUNDI



Shirikisho la Soka la Afrika (Caf), limeitoa Ismaily ya Misri kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.

Caf imechukua hatua hiyo kuitoa Ismaily baada ya mashabiki wake kufanya vurugu katika mechi dhidi ya Club African ya Tunisia.

Mwamuzi alilazimika kumaliza mechi dakika chache kabla ya mechi kwisha kutokana na mashabiki kumshambulia mwamuzi msaidizi kwa mawe na chupa za maji lakini pia waliwashambulia wachezaji na makocha kwenye benchi la Club African.


Post a Comment

0 Comments