Msanii wa Bongo, Shilole amesema kuwa mtaji kwenye biashara yake ya chakula 'Shishi Food'
mtaji wake umekua hadi kufika Tsh. 40.
Muimbaji huyo amesema alianza biashara hiyo kwa mtaji wa Tsh. 50,000 ambayo ameuzungusha hadi kufikia hapo.
Shilole ambaye alianzia kwenye filamu kisha muziki , pia anamiliki biashara nyingine, Shishi Chilly. Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo 'Mchaka Mchaka' ambao aliuachia mwaka jana.
0 Comments