Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 28, anatazamiwa kukacha mpango wa kuhamia Manchester United msimu huu wa joto na kusalia Tottenham, huku klabu hiyo ya Old Trafford ikitarajiwa kumtangaza Erik ten Hag kama mkufunzi wake mpya badala ya kocha wa zamani wa Spurs Mauricio Pochettino. (Mirror)
0 Comments