Windows

‘Tumengoja ushindi huu kwa miaka 60’- Mane afunga penalti ya ushindi na kuipa Senegal taji la kwanza la Afcon

Misri walikuwa wa kwanza kufanya makosa wakati mlinzi wa kati Mohamed Abdelmonem alipoona penalti yake ikigonga upande wa kushoto shemu ya juu ya lango na kutinga mbali - lakini Gabaski alimnyima Bouna Sarr mara moja.

Post a Comment

0 Comments