Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapii tarehe 07.02.2022 : Carvalho, Rudiger, Logbo, Gnabry, Wijnaldum

Liverpool itafanya mazungumzo na Fulham mwezi huu kuhusu mkataba kwa ajili ya mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 Fabio Carvalho huku wakitaka kufikia makubaliano kabla ya msimu ujao . (Football Insider)

Post a Comment

0 Comments