Kylian Mbappe, 23, anajadiliana na Paris St-Germain kuhusu mkataba mpya. Mshambuliaji huyo wa Ufaransa wa miaka 23, alitarajiwa kujiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa bure wakati mkataba wake utakapokamilika mwisho wa msimu huu. (Telegraph - subscription required)
0 Comments