Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 17.10.2021: Salah, Hazard, Haaland, Jovic, Lacazette, Kounde

Real Madrid watamuuza kiungo wao wa kati Eden Hazard, mwenye umri wa miaka 30, ili kupata pesa kwa ajili ya mshambuliaji wa Liverpool Mmisri forward Mohamed Salah,mwenye umri wa miaka 29. (Ekrem Konur)

Post a Comment

0 Comments