Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 16.10.2021: Mbappe, Pogba, Tchouameni, Sterling, Lewandowski, Rice

Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, hatasaini mkataba mpya Paris St-Germain haijalishi klabu hiyo ya Ligue 1 itamlipa kiwango gani cha fedha kwani nyota huyo ameamua kuelekea Real Madrid. (AS - in Spanish)

Post a Comment

0 Comments