Windows

Tazama: Kipa wa timu ya Glentoran Aaron McCarey akimshambulia mlinzi wake baada ya kushindwa kuzuia bao

Kipa wa klabu ya Glentoran Aaron McCarey anaonekana akimkaribia na kumshambulia mchezaji wa timu yake kwa kushindwa kuzuia goli, tunauliza je inapofikia hatua hiyo ni kipi kinachofanyika?

Post a Comment

0 Comments