Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe 04.09.2021:Traore, Mbappe, Ronaldo, Dybala, Lingard, Olmo

Wolves Wanataka kumfanya winga wa Uhispania Adama Traore, 25, mchezaji wao anayelipwa mshahara wa juu zaidi kwa mkataba mpya wa malipo ya pauni 120,000- kwa wiki kuzuia nia za klabu za Tottenham na Liverpool kumchukua. (Sun)

Post a Comment

0 Comments