Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 11.08.2021:Messi, Martial, Martinez, Zakaria, Shaqiri, Buta, Zouma

Paris St-Germain italzimika kuuza hadi wachezaji 10 wa kikosi cha kwanza ili kusawazisha mahesabu yao baada ya kumsajili a Lionel Messi, 34. Kiungo wa Senegal Idrissa Gueye, 31, kiungo wa Uhispania Ander Herrera, 31, na 28- mshambuliaji wa zamani wa Argentina Mauro Icardi ni miongoni mwa wale ambao wanaweza kuuzwa.

Post a Comment

0 Comments