Windows

Lionel Messi: Barcelona imesema mshambuliaji huyo wa Argentina hatosalia klabuni hapo

Klabu ya Barcelona imesema mshambuliaji wake nyota, Lionel Messi hatakuwepo klabuni hapo "kwa sababu ya vizuizi vya kifedha na utawala".

Post a Comment

0 Comments