Windows

Je Christiano Ronaldo ndio mchezaji bora kuwahi kutokea katika historia ya bara Ulaya

Wakati Cristiano Ronaldo atakapoiongoza Ureno kuivaa Hungary katika mechi yao ya ufunguzi ya fainali za Euro 2020 hapo June 15 mwaka huu, anatarajiwa kuandika rekodi mpya kwenye mashindano hayo.

Post a Comment

0 Comments