Windows

Mechi ya watani Simba na Yanga kurudiwa ,waziri wa Michezo aamrisha

Mchuano mkali uliotarajiwa kwa hamu na mashabiki wa vilabu vya Tanzania Yanga na Simba sasa utarudiwa . Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo nchini humo Innocent Bashungwa amesema wameafikiana na pande hizo ili mechi hiyo kurudiwa.

Post a Comment

0 Comments