Liverpool inakabiliwa na hali ya suitafahamu kumhusu mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah huku baadhiya wadau katika klabu hiyo wakizidi kushawishika kwamba nyota huyo aliye na umri wa miaka 28-anatazamia hatma yake ya siku zijazo mahali pengine. (ESPN)
0 Comments