Windows

Thomas Tuchel: Mkufunzi wa zamani wa PSG amrithi Lampard katika klabu ya Chelsea

Chelsea imeamuajiri aliyekuwa mkufunzi wa Paris St-Germain Thomas Tuchel kuwa meneja wake mpya kwa kandarasi ya miezi 18 kukiwa na fursa ya kuongeza kandarasi hiyo itakapokamilika.

Post a Comment

0 Comments