Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 11.01.2021: Tierney, Faivre, Anderson, Barkley, Brahim, Fernandinho

Napoli wameamua kumfanya mlinzi wa Arsenal Mskochi Kieran Tierney lengo lao la muda mrefu baada ya kumkosa nyota huyo aliye na umri wa miaka 23 mwanzo wa msimu huu. (Telegraph - subscription required)

Post a Comment

0 Comments