Windows

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 29.01.2021: Mbappe, Haaland, Maitland-Niles, Benrahma, Odegaard, Bielsa

Paris St-Germain itafirikia kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, mwisho wa msimu huu iwapo mshindi huyo wa kombe la dunia atakataa kuandikisha kandarasi mpya na klabu hiyo. Klabu ya Liverpool na ile ya Real Madrid zina hamu ya kumsaini mshambuliaji huyo hatari. (Marca - in Spanish)

Post a Comment

0 Comments