Windows

Cristiano Ronaldo achunguzwa kwa kusafiri ili kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake licha ya masharti ya corona

Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo anachunguzwa na maafisa wa polisi wa Itali kuhusu safari aliokwenda ili kusherehekea siku ya kuzaliwa na mpenzi wake.

Post a Comment

0 Comments