Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 23.12.2020: Lionel Messi, Grealish, Alaba, Eriksen, Salah, Tarkowski

Lionel Messi aliifungia bao lake la 644 Barcelona wakati wa ushindi wa timu hiyo dhidi ya Real Valladolid na kuvunja rekodi ya Pele ya kuwa mchezaji aliyefunga mabao zaidi katika klabu moja.

Post a Comment

0 Comments