Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 27.12.2020: Foden, Pogba, Ozil, Sabitzer, Jovic, Johnstone

Kiungo wa kati wa Manchester City Phil Foden ndiye anayewindwa na Real Madrid, ambao wanaamini wanaweza kutumia kufadhaika kwa kijana huyo wa miaka 20 kwa kukosa muda wa kucheza kumleta Uhispania. (Sunday Mirror)

Post a Comment

0 Comments