Mwandishi wa habari aomba radhi kwa kumfananisha mchezaji wa Barcelona na 'mchuuzi mweusi wa barabarani' wakati wa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Ferencvaros.