Windows

Tetewsi za soka Ulaya Ijumaa 13.03.2020: Partey, Belotti, Ighalo, Willian, Onana

Arsenal inajiandaa kuwasilisha ombi la kumsajili mchezaji wa Atletico Madrid Thomas Partey. Kiungo huyo wa Ghana, 26, ana kifungu cha pauni mmilioni 45 ili kuondoka katika klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments