Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 16.03.2020: Ighalo, Van de Beek, Ronaldo, De Bruyne, Sterling, Kane

Mshambuliaji wa Manchester United na Nigeria Odion Ighalo, 30, ambaye yuko klabu hiyo kwa mkopo kutoka Shanghai Shenhua, anajianda kupunguziwa mshahara hadi £6m ili asalie katika ligi ya primia. (Mail)

Post a Comment

0 Comments