Windows

Yevgeniy Fedorov: Muendesha baiskeli wa Kazakhstan ashinda Tour de Rwanda

Yevgeniy Fedorov ,wa timu ya Vino-Astana Motors ya Kazakistan ndiye aliyeshinda mkondo wa kwanza wa mashindano yam bio za baiskeli maarufu Tour du Rwanda ambayo yameanza leo.

Post a Comment

0 Comments