Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 24.02.2020: Tetesi za uhamisho wa Zlatan, Smalling, Mkhitaryan, Phillips, Kostic

Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswisi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi. (Mail)

Post a Comment

0 Comments