Ligi kuu ya soka nchini Italian, Serie A, imetumia michoro ya nyani katika kampeni yake ya kupinga ubaguzi wa rangi chini ya wiki tatu baada ya klabu moja kuahidi kukabiliana na jinamizi hili pale walipokubali kuwa ubaguzi ni ''tatizo kubwa". Je walifikia vipi uamuzi wao?
0 Comments