Alichozungumza Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kuhusu Mapato, Matumizi ya klabu hiyo;
Mapato Bilioni 2.2,
Matumizi Bilioni 4
Madeni ya mishahara ya wachezaji wa sasa ni miezi miwili, watalipwa leo
Mapato na matumizi hayalingani kutokana na wingi wa madeni
Mechi 2 za Dar za Yanga zimeingiza mil 8
Madeni waliyokuta toka mwezi wa tano walivyoingia
Deni la serikali (TRA, Ardhi) ni mil 800
Deni la signing fees za wachezaji kwa miaka mi 2 nyuma ni mil 250
Madai ya makocha waliokowepo ;
1. Hans mil 100
2. Deni la Rostand mil 60.
3. Donald Ngoma, Chirwa zaidi ya mil 100.
4. Watu binafsi mil 217.
Mishahara ya wachezaji walikuta wengine wanadai miezi nane
Bado usajili klabu ilitumia mil 600 kwa timu za wakubwa na wanawake.
Mapato ya Yanga toka wameingia kutoka kwa wadhamini ni bil 2.2 wakati matumizi ni bil 4.
Fedha za Harambee ya "Kubwa Kuliko" ahadi ni mil 900 ila hadi leo mil 300 haijapatikana.
Uongozi unaendelea kupunguza madeni hapo hapo wanahakikisha wanaendesha timu.
Miezi miwili mishahara ilikwama kwa sababu ya michezo ya CAF ilianza mapema kuliko ilivyotegemewa kwa hiyo ikaharibu budget.
- Mechi ya Rollers gharama zilikuwa mil 98
- Mechi ya zesco Miil 105
- Mechi ya Pyramid mil 108
Kwa miezi miwili kilichowaokoa wachezaji ni motisha aana kila wiki wanapata laki moja
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments