Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ufaransa Didier Deschamps emeongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kukinoa kikosi hicho hadi mwisho wa mwaka 2022.
Deschamps, ambaye alishawahi kuongeza mkataba mara mbili kwenye kikosi hicho mwaka 2015 na 2017, ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo ya taifa hadi 31 Desemba, 2022.
0 Comments